Diamond Aonyesha Uwezo Mkubwa wa Kuimba Live Coke Studio, Tazama Hapa Wimbo Wake na Cassper Nyovest Ambao Umekuwa Gumzo

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Diamond Aonyesha Uwezo Mkubwa wa Kuimba Live Coke Studio, Tazama Hapa Wimbo Wake na Cassper Nyovest  Ambao Umekuwa Gumzo

Tazama Hapa Video:
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uimbaji na Sauti yake hautofautiani sana na akina Bitchuka na Shaban Dede anzi zile. Na pia hautofautiani sana na wale waliokuwa mapacha wa Tancut Almasi Orchestra akina Kyanga Songa na Kasalooo Kyanga,as a matter of fact hao majamaaa niliowataja uimbaji wao ulikuwa ni bora kabisa na wa kiwango cha juu kabisa kulinganisha na huyo Domo Platinumz. Huwezi kulinganisha sauti za uimbaji kati ya Hassan Rehani Bitchuka, Shaban Dede na Kasalooo Kyanga na huyo Domo. Huyo Domo kaachwa kwa mbaaaaaliiiiiiii kabisaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Ila hawakuweza kupromote vipaji vyao na kutengeneza mkwanja. Dormant resources

    ReplyDelete
  3. KWANI KIPAJI CHA BITCHUKA KILIKUWA KINALINGANA NA CHA SHABANI DEDE? VIPAJI HUTOFAUTIANA, HIVYO HAMNA CHA AJABU. KAZI NZURI SANA DIAMOND, HONGERA SANA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad