Martin Kadinda Afunguka Asema Wema Sepetu Anaangushwa na Marafiki zake

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mbunifu wa mavazi kutoka Bongo, Martini Kadinda amesema hawezi kumchagulia Wema Sepetu marafiki wa kuwa nao karibu na hawezi kujiingiza kwa lolote katika ugomvi wao.

Akipiga story ndani ya eNewz, Kadinda amesema ugomvi ambao unatokana na marafiki zake Wema unamshusha Wema kwa kuwa Wema ni mtu maarufu na ana jina kubwa hivyo alichokifanya ni kumzuia Wema kuweka ugomvi wake katika mitandao ya kijamii.

Pia Martin ameendelea kuwasihi mashabiki zake kuendelea kumpenda Wema na kazi zake ambazo anazifanya na siyo vinginevyo na pia wasimuhukumu Wema kwa mambo yanayoandikwa mitandaoni kwa kuwa hawajui chanzo chake.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana haja ya kuonewa huruma huyu malaya choo cha uma...kazidi wemaaa anatia kinyaa...yani kila mwanaume lazima amfunue...ana nn huyu bint...kweli wote tumekuwa na wanaume wengi lakn mengine unafanya siri

    ReplyDelete
  2. Martin usisingiziye marafiki kwani Wema ni mtoto mdogo yeye mweneyewe anayataka kuwa kwenye media hajui kama ni sifa mbaya hasa kama hii ya kuwa na wanaume tofauti kila kukicha na lazima atangaze. Mushauri dada yako umri unakwenda aachane na mambo ya utoto.

    ReplyDelete
  3. Tatizo siyo marafiki, tatizo ni yeye anapenda masifa ya kijinga hivi huwezi kuwa na mwanaume ukafanya siri lazima kila mtu ajue ili iweje sasa, ana umaarufu gani wa kubadilisha wanaume tupende kazi zake zipi alizofanya za maana zinazoonekana huyo mwanamke mjinga sana maana kwenye utoto kasha vuka miaka 30 ana udogo gani wa kutojitambua huto dada hata kuwa na mwisho mwema wenzie uchi unawafanyia ya maana hata umri ukiwatupa mkono wanacho cha kuringia yeye anagawa sadaka umri unakwenda atabaki uchi umechakaa hana cha kujivunia, eti maarufu sawa ana nini sasa nyumba ya kupanga au gari ya kuhongwa upuuzi tu, mm nilikuwa nampenda sana wema lakini tabia zake zimenifanya nimchukie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad