Picha:Vera Sidika Aonyesha Nyumba yake na Gari Analomiliki ni ‘Kufuru’

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mrembo maarufu wa Kenya, Vera Sidika ameonyesha kuwa na yeye ni miongoni mwa mastaa wanaomiliki vitu vya thamani.

Kupitia mtandao wa Instagram, Vera ameuonyesha mjengo wa kifahari anaoumiliki pamoja na gari aina ya Range Rover na kuwaacha mashabiki mdomo wazi.



“I still remember the days I prayed for the things I have now. Just believe in the person you want to be and then work hard for it. Because the Limit to your abilities is where you set them. Have a productive week ahead. 👑QVB👑,” aliandika Vera kwenye picha aliyoiweka kwenye mtandao huo.

Hatua hiyo ya mrembo huyo kuonyesha mali zake hizo imeonekana ni kama amemkejeli hasimu wake Huddah Monroe.

“I wonder why Huddah sees Vera as a. Challenge??? The beef is real.. Am happy my queen is more matured than her =, ignoring her to the fullest,” amecomment mmoja wa mashabiki kwenye picha hiyo.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wakati wengine washerekea juhudi zao za umaarufu wengine wana sherekea juhudi zao za kuchukua picha za utupu na watoto wadogo wasio na mbele wala nyuma.

    ReplyDelete
  2. nahisi hiyo nyumba na hilo gari sio vyake na ndiyo maana hata namba za gari hazionekani na hati ya nyumba hakuweza kuweka mtandaoni ni sawa na Huddah alipiga picha kwenye hotell akasema eti pale ndiyo nyumbani kwake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akili zako finyu cha ajabu nini hapo mpaka ashidwe kumiliki.

      Delete
  3. Akili zangu sio finyu ila wasanii ni waongo sana na pia wanapenda sifa sana hiyo picha aliyotuma vera ningeweza kutuma mimi hapa majuu ningeweza kupiga picha kwenye mjengo mzuri au nyumbani kwangu na kusema hiyo nyumba ni yangu lakini mimi siyo muongo nipo muwazi sina sababu ya kudanganya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad