Rais Magufuli Asaini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Rais John Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge katika mkutano wake wa tano mjini Dodoma.
4-5

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imeeleza kuwa Rais Magufuli amesaini sheria hiyo jana tarehe 16 Novemba 2016 na kuwapongeza wadau wote kwa kufanikisha kutungwa kwake.


_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Bunge. Hongera Tanzania. Hongera Baba JPJM...hapa kazi tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unapongeza kwa kuwa ni mazoea au unajua kilichomo kwenye hiyo sheria?????? , KUWA MAKINI

      Delete
    2. Nnajua kilichomo na ni mmojawapo katika mchakato mzima

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad