VIDEO ya Kokoro yazichezea Sharubu za ‘Simba’ Aliyekuwa Usingizini (BASATA), Ladai Litatoa Tamko

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Rich Mavoko na Diamond Platnumz wamezichezea sharubu za simba mkali aliyekuwa usingizini.

Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limehisi kuna udhalilishwaji wa wanawake kwenye video hiyo na limesema litatoa tamko lake iwapo litaifungia video hiyo au lah!

“Ktk kusimamia maadili ktk Sanaa & udhalilishaji wanawake tuko thabiti.Video ya #kokoro ya #Mavoko inapitia uhakiki.Taarifa itatoka,” limeandika baraza hilo kwenye akaunti yake ya Twitter.

Video ya wimbo huo iliyofanyika nchini Afrika Kusini inaonesha wanawake waliopo kwenye Jacuzzi huku maziwa yao yakiwa wazi licha ya kupakwa rangi ya dhahabu.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli kabisa huo ni udhalilishaji wa akina mama,basata shusha lungu!

    ReplyDelete
  2. Hivi nyimbo bila matusi au kukaa nusu uchi haipendezi???

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad