DIAMOND na Timu yake Kuchoma Gari Moto Jukwaani Kesho Wasafi Beach Party

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL leo Live pale mlimani City amesema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya kesho Kwenye Party ya Wasafi ...

Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi.....
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hacheni kukufuru nyie watoto. Kama kiki zimewaishia semeni niwape

    ReplyDelete
  2. Mtu ukishazoea nguvu za giza unakuwa mtumwa sana wa shetani,hapo bila shaka mganga wake kamuambia afanye hivyo.

    ReplyDelete
  3. Masikini ni wengi jamani, hiyo itakuwa ni kufuru.

    ReplyDelete
  4. ggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg

    ReplyDelete
  5. uchafuzi wa mazingira. Air pollution ni hatari kwa viumbe hai. Hilo Gari wakipiga kibiriti si uchafuzi wa khali ya hewa, na wengine hapo hapo wanavuta hiyo air pollution, sio jambo la sifa tu, Bali Kuna side effect zake. Mpooo

    ReplyDelete
  6. yaani kuna watu wanalala njaa halafu nyie mnataka kuchoma gari hiyo ni kufulu hata wasanii wamerikani huwa hawafanyi hivyo bali kukitokea party huwa wanagawa hela kwa wale wanaohitaji, mkichoma gari moto Mungu atawalaani sana na mziki wenu utashuka na hivyo mkichoma moto gari mbele ya watu kwenye hiyo party mtawauzi sana watu mpaka wataondoka kwa kuona upuuzi kama huo

    ReplyDelete
  7. Huyo diamond babaake ana kaa chumba cha kupanga anajishaua bure bora mngesema tuu ni ushirikina huo tumegundua hamna lolote

    ReplyDelete
  8. Game limekuwa gumu watu wanatafuta pa kutokea.... Raia hawataki tena maneno maneno wala ujanjaujanja wanataka muziki wa kueleweka ukizingua wanatupa kule hawana habare

    ReplyDelete
  9. Tatizo hawana jipya,kila kilichokuwa na mwanzo kina mwisho wake,diamond hana jipya la kuimba,ashukuru ana akiba ya mpunga.

    ReplyDelete
  10. Siyo simba siyo mamba siyo chui,....aliimba darasa,kuchoma magari ni kukufuru na kuishiwa material.

    ReplyDelete
  11. ulikuwa uzushi tu mbona hakuchoma gari naona ilikuwa kiki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad