DIamond Platnumz Amsifu Nahreel Kwa Kuvumbua Kipaji cha Rosa Ree...Adai Ndio Rapper Anaempenda Kwa Sasa Bongo

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Diamond Platnumz ampongeza mtayarishaji na muimbaji wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel.

Hitmaker huyo wa Salome ameonyeshwa kufurahishwa na Nahreel kwa kukitambulisha kipaji cha rapper wa kike kutoka lebo ya The Industry, Rosa Ree.

Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika:

A big birthday wishes to the Most talented Bway @nahreel … Unapambana sana Mwanangu, Mungu aendelee kukufungulia wewe pamoja na team yako nzima ya the Industry… But all n all Shukran kwa kututambulisha kwa huyu dada…. one of My Favorite Female Rapper and Song at the moment! #OneTime @rosa_ree 💥🔫 Tazama Video ya Rapper huyo hapa:
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapo Diamond anamtamani huyo binti kwani ni mrembo haswa

    ReplyDelete
  2. Huyo naye hana dogo.Kaishaanza kumtamani binti wa watu. Kama ana jamaaa inabidi aanze kuwa macho na huyo taaahira.

    ReplyDelete
  3. Diamond anamtaka tu huyu demu siyo kuwa anapenda nyimbo zake sababu nyimbo zake zimepooza wala sio nzuri halafu hiyo video yake hapo juu kachanganya yaani skuna na soksi? kwanza tangu lini mwana hip hop avae mchuchumio? wabongo bana hata mkiiga mnafel

    ReplyDelete
  4. Huyo demu naye katika ma rapper unaweza sema ni rapper kweli. Rapper gani ambaye hata lyrics zake hazieleweki na wala hazina hata flaw. Itabidi afanye kazi sana ili aweze kukaa kwenye game. Huyo Domo aende akaleee kijukuuu chake na hilo lizeee lake.Akae mbali na watoto wa watu. Ama tutamtengenezea mchongo wa kubaka ili apigwe jela miaka kama 30 hivi.Tuone na huo u Diamond wake ataishia wapi.

    ReplyDelete
  5. na Aika naye mwenye akili yake timamu akaamua kujizalilisha kwenye video na nyimbo ya kipuuzi kama hii, jamani wakati mwingine watu huwa wanajishusha wenyewe asimsingizie mtu

    ReplyDelete
  6. huyu demu alisemaga kuwa huwa anatungia nyimbo zake chooni au bafuni na kweli na hii nyimbo inaonekana kaitungia huko maana haieleweki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad