SERENGETI Boy Afunguka Jinsi Shilole Alivyomtongoza na Kumtumia Kisha Kumtosa

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Shilole amekuwa na tabia ya kutoka na viserengeti Boy na kila anayekutana naye anampost mtandaoni wakiwa mapozi tata au wakifanya utata utata, 
Mmoja wa serengeti boy anadai shilole alimkomaia kumtongoza sanaa akakosa uhuru kwa kuwa alikuwa dansa wake ikibidi amkubali, lakini aliishia kupata maumivu kwani alitoswa katikati
Shilole alipohojiwa anadai hajamtongoza ila kijana huyo anajifariji
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad