ZARI Awashangaza Wengi Baada ya Tumbo lake la Uzazi Kupungua Ndani ya Wiki Moja...Atoa Ushauri Huu

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

USHAURI WA ZARI KWA WAZAZI from #zarithebosslady - Good morning.... ladies no need to worry coz our bodies are different. But I did exercise during pregnancy which has helped my body get bk within 7days.... and for those stretch marks keep using olive oil during and after pregnancy. #
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. du ana mwili mzuri kuwa na watoto watano hata maziwa hayajaanguka mpaka tumboni kama wengine na pia anaweza kuendelea kuzaa kama akitaka mtoto mwingine na walai siamini kama watu wanavyosema kuwa ana miaka 41+ inawezekana alizaa mapema na alizaa haraka kama alivyozaa na Diamond yaani fasta fasta mara hii watoto wawili, hongera sana mrembo Zari

    ReplyDelete
  2. Basi pumzika hao watano mungu akuwekee acha kukaa kuonesha mwili kwenye mitandao mama watanoooo

    ReplyDelete
  3. Picha nyingine anazoweka mitandanoni huwa ni za zamani; hutumia sana zile za 2012 hadi 2014 kwa kutumia mavasi na hair style ile ile. Huyu mama na bahati sana ya kumpata Diamond kwa vile yule mume wake wa zamani alishampiga sana kutokana na umalaya wake. Mwaka 2014 alipomuomba mme wake amlipie White Party, jamaa akamtolea mbali, ndiyo maana alipokutana na Diamond akampa uchi wa haraka haraka ili amsaidie kuifanikisha pati ile na vivyo hivyo kama kumkomoa mme wake; ashukuru sana Diamond pia ni mvumilivu sana kwa ajili ya watoto.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha upumbavu wee anonymous 5:15. Timu ushuzi weee

      Delete
  4. hiyo picha hapo juu ni ya baada ya kujifungua sababu alikuwa amesuka msuko huohuo na rangi hiyo hiyo kwa hiyo sio picha ya zamani, hata kama Diamond alimlipia White party mwaka 2014 kwani mwanamke gani asiyependa kulipiwa vitu vizuri hamna asiyependa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad