Vunja mbavu maana yake ni nini? Jamaa anakula mkwanja wake, wewe mwandishi unausugua bongo na jua kali, hata air condition huijui, unabaki kumcheka mwenzako aliye juu.Kwani wewe kiingereza lugha yako?
Yani samatta kaongea kingereza saaaafi kabisaaa yani hapo hata huyo muandishi amemuelewa ndo maana kaendelea kuuliza maswali..sijaona shida yoyote ya kingereza chake...sasa we muandishi sijui tukuweke fungu gani...tena kijana wa watu kaongea na konfidensi kabisaa...na kajibu maswali vzr tu...
Mbona anajua vizuri tu kama amejibu maswali na muulizaji amerizika shida iko wapi. Pia nchi alizoenda wanaongea zaidi French ndio maana na yeye ana hio lafudhi. Big up Samatta endelea kuipaisha Tz.
Vunja mbavu maana yake ni nini? Jamaa anakula mkwanja wake, wewe mwandishi unausugua bongo na jua kali, hata air condition huijui, unabaki kumcheka mwenzako aliye juu.Kwani wewe kiingereza lugha yako?
ReplyDeleteAjabu kweli,na kwani hajamuelewa mpaka iwe vunja mbavu.
DeleteHe spoke very well, what are you talking about? English is a second language to him and not much used, from Bongo to Congo to where he is now.
ReplyDeleteThat was good
ReplyDeleteYani samatta kaongea kingereza saaaafi kabisaaa yani hapo hata huyo muandishi amemuelewa ndo maana kaendelea kuuliza maswali..sijaona shida yoyote ya kingereza chake...sasa we muandishi sijui tukuweke fungu gani...tena kijana wa watu kaongea na konfidensi kabisaa...na kajibu maswali vzr tu...
ReplyDeleteFresh tu mbonaa
ReplyDeleteEnter your comment...Nashanga watu wengine kama wanahizaya,mwenzie anaingiza tu ye kakalia umbea
ReplyDeleteHuyu mwandishi kaboka mchizi tu aka mbulula
ReplyDeleteMbona anajua vizuri tu kama amejibu maswali na muulizaji amerizika shida iko wapi. Pia nchi alizoenda wanaongea zaidi French ndio maana na yeye ana hio lafudhi. Big up Samatta endelea kuipaisha Tz.
ReplyDeleteunamshangaa wewe unayedhani kingereza kinalipa wazungu wanamuelewa endelea kuishi kwa nguvu za jua
ReplyDeleteWEWE MWANDISHI NDIO HUJUI,KINGEREZA.
ReplyDelete