Hivi ni Kwanini Wanawake Wengi Hujivunia Sana Makalio Yao?

Angalia hata picha wanazopiga wanawake utaona jinsi wanavyojibinua ili wanaonekane wana makalio makubwa.

Hata wakati wa kutembea pia wengine hutembea tofauti ili kuhakikisha kuwa makalio yake yanatikisika na ndio maana hata wengine hudiriki hata kutumia dawa za mchina ili kukuza makalio yao na hata baadhi yao wakati mwingine hujigamba kuwa eti wanamshukuru Mungu kwa kuwapa hips kubwa na wakati mwingine husikika wakisema eti mwanamke inye. 

Hivi nyie wanawake hususani wasichana ni kwanini mnapenda sana kujivunia na kuringia makalio yenu? Ina maana katika miili yenu kitu mnachokiona ni cha thamani ni makalio pekee? Badilikeni bwana maana kujivunia makalio badala ya akili ni ujinga wa kiwango cha lami
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aaaaaaaaaah ndugu mwandishi hujui kama raha ya safari mzigo ndo mpango mzima haiwezekani uwe na safari kisha ukakosa mzigo huna mzigo kwahiyo raha ya safari mzigo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad