Lowassa: Serikali ya CCM ina Watu Wabaya Sana Kwani Walimuombea kifo Wakati wa Kampeni.


Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, E. Lowassa amesema Serikali ya CCM ina watu wabaya sana kwani walimuombea kifo wakati wa kampeni.

Adai mabadiliko hayazuiliki kwani ndio muelekeo wa dunia kwa sasa.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mzee huna jipya..u better stay calm..unajivunjia heshima bure bure..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad