Mkuu wa Majeshi wa Gambia Akataa Kupeleka Jeshi lake Kupambana Wanajeshi wa ECOWAS Wanaotaka Rais Mteule Aapishwe

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mkuu wa Majeshi wa Gambia, Osman Badjei amesema vikosi vyake havitathubutu kamwe kupambana na vikosi vya ECOWAS kwa issue za kisiasa.

"stupid fight. I love my men. I am not going to involve my soldiers in a militarily, this is a political dispute," he said. "We are not going to involve ourselves" he added.

Majeshi ya ECOWAS yamesogea mpakani na nchi ya Gambia wakisubiri kupewa amri ya kuanza kumshikisha UKUTA Dikteta Yahya Jammeh, Nigeria imetuma Helikopter za kijeshi pamoja na makomandoo 200, Ghana imetoa vikosi vya ardhini na nchi zingine wanachama zimetoa sapoti ya kijeshi pia. Misheni nzima inasimamiwa na nchi ya Senegal..
Hii ndio Africa niitakayo.., ondoa madikteta wote..

Watalii wameondoka wote nchini humo, pia watu wengi wamekimbia nchi hiyo kwa hofu ya vita..
NB:Africa Mashariki tunajambo tunapaswa kujifunza hapa na kuifanya jumuiya kuwa imara na yenye Sauti na mamlaka katika kuingilia mambo ya Wanajumuiya wake pale wanapokataa kuheshimu na kutii maamuzi ya Wananchi....

By Henry Kilewo
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad