Sikia Alichokisema Diamond Baada ya Picha za Zari Kuzagaa Akiwa analiwa Denda na Mwanaume Mwingine..!!!


Daimond Platnumz mapema hivi karibuni alivutiwa waya na kituo kimoja cha redio kutaka kujua maoni na mtazamo wake juu ya picha ambazo mama watto wake anaonekana akipigwa denda na mwanaume mwingine.

Alichokijibu Daimond ni hiki hapa ,Sikiliza hapo chini Livee


Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona picha ni za zamani sana na alikuwa na mpenzi wake wa zamani kwenye hiyo picha, udaku mtaamka lini maana mnalala sana

    ReplyDelete
  2. Picha za zamani mnapenda kumpaisha tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad