Wema ana Nini na Zari?Tazama hapa Alichokisema Juu yake..!!

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
wema-1 Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.

SUPA-STAA Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, amefunguka kuwa anachukizwa na watu wanaomtolea matusi muigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel, baada ya kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa ya mzazi mwenza wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
wema-2Wema Akiwa katika katika pozi.
Akizungumza na Za Motomoto News, Wema alisema unatakiwa ufike wakati watu waelewe na waongozwe kwa akili zao za kuzaliwa kwa sababu hakuna kitu kibaya ambacho amekifanya Aunt, kwa kuwa staa mwenzake huyo kwa sasa ni mmoja wa familia hiyo.
 zari-na-auntAunt Ezekiel akiwa na Zari.
“Jamani hebu naomba kwanza wamuache Aunt, hana kosa lolote, hata kama ningekuwa mimi hapa nisingeweza kuacha kwenda kwa sababu tayari ni familia na hawezi kumuacha mumewe aende peke yake maana vitu vingine ni vya kujiongeza tu, nachukizwa sana na jinsi wanavyomrushia maneno ya kashfa,” alisema Wema.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmeishiwa story nini huu unafiki wenu wa toka mwaka jana mnatuletea tena mnafikiri sisi wasomaji hatutojua au kusudi,

    ReplyDelete
  2. Nyinyi watu wa hii page chapeni kazi kutafuta habari sio kutafuta watu wenye majina na kurudia stori

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad