Zitto: Angalieni Hali ya Wanafunzi, Jirani yao Chato Inajengwa Airport ya zaidi ya TSh Bilioni 50

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Mwanasiasa Machachari Zitto Kabwe ameweka picha hiyo hapo juu kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika yafuatayo:

Watoto wa Shule ya Msingi Mnyala katika kata ya Nkome Wilaya ya Geita.
Jirani yao Chato inajengwa Airport ya zaidi ya tshs 50bn
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jitto anatafuta Kiki na huku akijua Wakati siyo muafaka.. Miguu chali.. Zito tafuta ustaarabu mwingine. Hapa huna Bao.. JPJM hataki mchezo. Hapa kazi tu.

    ReplyDelete
  2. Jitto anatafuta Kiki na huku akijua Wakati siyo muafaka.. Miguu chali.. Zito tafuta ustaarabu mwingine. Hapa huna Bao.. JPJM hataki mchezo. Hapa kazi tu.

    ReplyDelete
  3. Zito hata ingekuwa wewe ungefanya hivyo hivyo nyie jipangeni 20/20 mchukue nchi tuone mbwembwe zenu hii haisaidii lolote propoganda za siasa tu!!!! Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe,,,,,wewe mbunge hapo ulipo umebadikisha nini katika jimbo lako majirani zako wote wanaishi kama wewe unavyoishi tusi danganyane ndio maana vidole havilingani kamwe,,,,,mimi natoka kwenye jimbo lako wapo watu wana ishi kwa shida na wewe unalijua hilo mbona hujawahi kuwapa hata kilo ya sukari!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Ah!! Ziztto anasikitisha...! Huku anakidogoo kinamgoja na mama pia anangoja. Milrembe wamesha mfungulia mwaliko anajipanga kwenda! isitoshe amejiajiri katika mabohari kuhesabu magunia ya chakula na hesabu zimemchanganya NETWOKI NAGONGA MWAMBA SIYO MNARA. Hapo ndiyo mwanzo mwisho ya Dogo wetu ziztto. Kwao hataki sikia. TANZANIA NI SALAMA NA NI YA AMANI. Choko choko na Upotoshaji na baya zaidi ni Dili hatuzitaki. Kuwa na Amani katika Roho yako Angry Face halafu kwa wenzako. Hapa Kazi Tu.

    ReplyDelete
  5. Ah!! Ziztto anasikitisha...! Huku anakidogoo kinamgoja na mama pia anangoja. Milrembe wamesha mfungulia mwaliko anajipanga kwenda! isitoshe amejiajiri katika mabohari kuhesabu magunia ya chakula na hesabu zimemchanganya NETWOKI NAGONGA MWAMBA SIYO MNARA. Hapo ndiyo mwanzo mwisho ya Dogo wetu ziztto. Kwao hataki sikia. TANZANIA NI SALAMA NA NI YA AMANI. Choko choko na Upotoshaji na baya zaidi ni Dili hatuzitaki. Kuwa na Amani katika Roho yako Angry Face halafu kwa wenzako. Hapa Kazi Tu.

    ReplyDelete
  6. duuuuh mwoneeni huruma jamani agry face tena halafu inaonekana hao watoto wa shule yy ndo aliye washawishi wakae kwa pozi walillokaa msituone mabwege watu tuna akili zetu na tunajitambua bwana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad