Anaandika Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu.
Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo katika awamu ya 5
Ushauri wangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda Vita ya madawa ya kulevya ikiendelea kuwa ya one man show itafika mahali itamshinda, hii vita si ndogo ni kubwa sana hata raisi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete analifahamu hilo.
Tundu lisu bora anyamaze tuu huna issue ya maana. Kwa nini kama unawajua kuna makubwa wao usiwataje? Badala ya kuongea pumba zako
ReplyDeleteishu co Lissu kuwataja mapapa. ishu ni kwa nn makonda aonee vidagaa badala ya kuenda kwa mapapa.au kwa vile vidagaa havitamfanya kitu. mapapa watammaliza kweli c utani ndo maana hawataji.
ReplyDeleteTundu Lissu yupo sahihi sasa nyinyi mnaotaka awataje wakati hayo mapapa yapo na yanajulikana hata nyinyi mnaoponda mnalijua hilo.
ReplyDeleteKazi ya lisu ni kuhimiza Serikali ifanye haki. Nyi mizengwe huko juu mbona hamnazo. Ndio pongezi toeni Vigogo mnaolindana.
ReplyDeleteKuna coment mbili na nyingi tu nyingine, Hamziweki. Mnaogopa Raisi Magufuli. Ndo uandishi huu nusu nusu. Fake news?
ReplyDelete