MAGUFULI - Waliokamatwa na Vyeti Feki Wafungwe Jela Miaka Saba..!!!


Rais John Magufuli amesema watumishi 9732 waliobainika na vyeti feki wakatwe mshahara wa mwezi huu na wafukuzwe kazi na kisha wachukuliwe hatua kwa kufungwa jela miaka saba.

 Amesema kwa kuwa watumishi hao wanajijua, hata majina yao yachapishwe kwenye magazeti kwa kuwa wameiibia serikali.

“Hawa ni majambazi, majizi kama yalivyo majizi mengine,” amesema

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sheria zetu nzr sana. Mbunge anatakiwa kujua kusoma na kuandika tu ili aende akatunge sheria zitakazotumiwa na wananchi na watendaji wa serikali waliosoma au wataajiriwa kulingana na elimu yao. Pia kuwa dereva wa kumwendesha mbunge lzm awe amehitimu Kidato cha nne. Fantastic laws. Ww uvimbe tu bichwa ukidhani kuteuliwa na raisi kunahitaji elimu kubwa. La ajabu wabunge hao pia wanafanya tafiti mbali mbali zinazowafanya waweze kushauri serikali. In fact they are genius.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad