LWANDAMINA:Mashabiki wa Yanga Jitokezeni kwa Wingi Uwanjani Kuupokea Ushindi Dhidi ya Majimaji

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
LWANDAMINA:Mashabiki wa Yanga Jitokezeni kwa Wingi Uwanjani Kuupokea Ushindi Dhidi ya Majimaji
Kocha wa Yanga, George Lwandamina amewaambia mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi uwanjani kwani nafasi ya kikosi chake kushinda dhidi ya Majimaji ni kubwa.

Lwandamina amesema kikosi chake kiko imara kuwakabili Majimaji licha ya kwamba uwanja siyo mzuri sana.

"Ni mechi ngumu lakini tuna uwezo wa kushinda. Tutacheza soka la kupambana na kujituma zaidi," alisema Lwandamina.

"Hatufahamu sana wao wamejipanga vipi lakini muhimu kwetu ni kuwa na timu nzuri ya ushindani," alisema kocha huyo.

 
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad