Baada ya Kukaa Kimya Muda Mrefu Wema Sepetu Arusha Bomu Hili Kuwashtua Mashabiki Wake

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu leo ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram, zikimuonesha akiwa na mwonekano mpya ambapo muda mfupi baadaye, mashabiki zake walianza kutoa maoni yao, wengi wakionesha kufurahishwa na mwonekano wake mpya.
Mashabiki hao wamembatiza Wema kwa jina jipya, wakimuita Malkia wa Instagram Tanzania au mwenye insta yake kaja.



_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad