Godbless Lema: Afrika Kuna Matendo ya Kibaguzi ya sisi Kwa sisi Kuliko Matamshi ya Donald

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Godbless E.J. Lema

"Africa inapiga kelele dhidi ya matamshi ya ubaguzi ya Donald Trump. Africa kuna matendo ya kibaguzi kuliko matamshi ya Donald Trump na ni sisi kwa sisi,unapotumia nguvu ya dola kuuwa demokrasia na haki,unapotumia nguvu kutesa na kuua wanao kukosoa, huu sio ubaguzi ? Tutafakari" Godbless Lema
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Namuunga mkono muheshimiwa mbunge wa Arusha ndugu Lema kuwa kweli Africa kuna ubaguzi kuliko matamshi ya raisi Wamerekani kwa sababu kitendo cha chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani Chadema kuwa na mfumo wa kikanda zaidi kuliko vyama vyengine ni ubaguzi wa dhahiri na usiofichika. Lowasa, Mbowe, Lema, Sumaye na viongozi wengine wengi waandamizi wa Chadema na kuwa na idadi kubwa ya watu wanaokisapoti chama hicho wanaotokea upande mmoja wa nchi inaonesha dhahiri kuwa chama hicho cha siasa kinaendekeza ubaguzi . Sababu ya kusema kuwa mikoa fulani ni home base ya Chadema hakuna kitu kama hicho katika siasa kwani siasa sio mpira. Ni kuendekaza siasa za kikanda that's all na ubaguzi kwa hivyo nakuunga mkono Lema Africa kuna ubaguzi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahaha! Mmbwa kamla mwenye-mmbwa, kisu chake mwenyewe kimemkata......HAPA KAZI TU....piiipooozz PWAAA

      Delete
  2. CCM hipo madarakani toka kupata uhuru maendeleo maji hakuna umeme wa mchepuko hospitali kila wajazito 10 watatu upoteza maisha hapa kazi tu kumbuka ilikuwa hapa ujamaa tuu na matokeo yake?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad