Sarah wa Harmonize Ashindwa Kuvumilia Ampa Onyo Kali Wolper "Unamsumbua Mpenzi wangu Kwenye Simu "

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Sarah wa Harmonize Ashindwa Kuvumilia Ampa Onyo Kali Wolper "Unamsumbua Mpenzi wangu Kwenye Simu "


Mpenzi wa msanii Harmonize, Sarah amemuonya ex-girlfriend wa muimbaiji huyo Jacqueline Wolper kwa kile alichodai muigizaji huyo anamsumbua sana mpenzi wake katika mitandao.

Aliweka wazi hilo ni Wolper ambaye ameweka wazi jumbe alizotumiwa na Sarah kupitia mtandao wa WhatsApp na kueleza kuwa hawezi kumjibu kwa sasa zaidi ya kumuhurumia.



Harmonize na Wolper walikuwa wapenzi kipindi cha nyuma na couple yao ilikuwa na nguvu sana yenye kukodolewa macho na vijana wengi. Walionekana kushibana katika mapenzi yao kiasi kwamba Harmonize aliweza hata kumshirikisha Wolper katika video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Niambie.

Baada ya kuachana Harmonize aliweka wazi kuwa katika mahusiano na Sarah binti kutoka nchini Italy na Wolper naye akawa na mahusiano na kijana maarufu mtandaoni, Brown, hata hivyo mahusiano yao pia hayakuchukua muda ukawa umevunjika.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpuuzi huyu Sarah. Tangu lini mwanamke wa kizungu akamridhisha mwanamme rijali has a wa kiafrika. Atagombana na wengi. Huyo hamonize ushamba ukimuisha atarudi mwenyewe. Katafute mtaliana mwenzio hao wa Afrika watakuchezea tu kisha hurudi kwao wakale ugali na nyama choma

    ReplyDelete
  2. wanawake wazungu wanajua sana kufanya mapenzi mpaka kwa tigo ndiyo wenyewe sio kama wanawake wa kiakrika kitandani wamelala kama gogo hata kukatika hawakatiki hata kupiga denda hawajui wanawake wa kizungu wanajua kupiga denda mpaka basi kama unabisha angalia sinema za utupu za kizungu hapo utajionea mwenyewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mwenyewe umesema cinema. Ni acting tu

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad