Kamanda wa 'Watapata Tabu Sana' Kupata Dili la Matangazo?

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Mitaa na mitandao imechafuka kwa msemo wa #WatapataTabuSana ambao ulisemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,RPC G Muroto na kupewa umaarufu na @soudybrown na @kwisa__mzee_mkavu (#Shilawadu)

Sasa Kamanda huyo amezungumza na @mamybabytz na kusema kwamba anaweza kutoa msemo mwingine wakati ukifika. Ameongeza kwamba ikitokea kuna watu wanataka kufanya naye 'dili' (mfano matangazo) labda anaweza kufanya kwa kushauriana na Mkuu wa Jeshi la Polisi.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad