Kanisa la KKKT limetangaza rasmi kuwa watu watakaotaka kufunga ndoa kisha kwenda kanisani ilihali baadhi ya maungo yao kama matiti na sehemu za mapaja zi wazi hawatapata huduma hiyo.
Maswali magumu kwa maaskofu:
Ni upi utaratibu wa kisheria wenye reference toka kwenye biblia juu ya vazi la mwanamke wa kikisto? au sheria hii
imewekwa baada ya "watakatifu" Kukwazwa? Viongozi wa kikisto wasiwaonee waumini isipokuwa wawaeleze vifungu vinavyowakataza kuvaa vimini!
hilo wala halipingiki kwan ni ukwl m2pu haina haja ya referenc kutoka kweny biblia bali kwa macho ya kawaida na akili timamu unajua fika kua halina maadili.naunga hoja 100%
ReplyDelete