Tasnia ya filamu imekuwa ikiwaharibu vijana wengi hasa wakike wanaopenda kufanya kazi hiyo na mwisho wa siku wanaonekana kama wamepoteza muelekeo wa maisha, kutokana na anasa zilizopo ndani ya tasnia hiyo.
Aunty alisema kuwa awali kabisa alipenda kufanya kazi hiyo lakini kadri siku zinavyokwenda mbele anajiona wazi kuwa amebandilika na amekauwa na tabia chafu ambazo hazina mfano.
Alidai kuwa inawezekana hakujua namna ya kujipanga pindi alipokuwa anaigia kwenye tasnia hiyo, lakini sasa anaona wazi kuwa tayari ameshazama kwenye shimo na kutokana kwake ni vigumu kwani hayo ya sasa ndiyo maisha aliyozoea.
“Awali sikuwa hivi asa sijui hii ni kwa sababu ya kuingia kwenye filamu au vipi, lakini kuna matukio mengine nimeyafanya ambayo kwa kweli si mfano wa kuigwa,” alisema.
Kwani uongo?!
ReplyDeletekumbe mnajijua
ReplyDeleteTatizo ni njaa zenu, mnapenda mambo makubwa wakati uwezo hamna, hivyo basi kulazimika kuuza miili. Hiyo miili hamkupewa ili muiuze. Mkumbuke kuwa miili yenu ni mahekalu ya Mungu. Ona mwenzenu mmoja kahongwa kagari basi kauachia mwili. Miili yenu ina thamani kubwa kuliko kitu chochote mnachotamani kuhongwa.
ReplyDeletePole dada.. Bado ni mapema unaweza kujirekebisha usije haribu jina lako katika jamii..!
ReplyDeleteBaadhi wanaharibu sana tasnia ya bongo movie, na bado jiachieni tu
ReplyDelete