Sakata la biashara ya binadamu ambalo limeibuka kwa kasi nchini limeanza kufanyiwa kazi na serikali baada ya Jeshi la Polisi Kikosi cha Maji kuwatia mbaroni mawakala watano ambao ni wanawake wakituhumiwa kujihusisha na biashara hiyo.
Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Maji, Mboje Kanga, akizungumza na NIPASHE jana kuhusu hatua ambazo zinachukuliwa na jeshi hilo kukabiliana na tatizo hilo, alisema mawakala waliokamatwa ni wakazi wa Zanzibar na kwamba hatua za kisheria zimeanza
UNAFIKI MTUPUU HAMUWEZI KUIZIMA NURU YA ALLAH KWAKUTUMIA VINYWA VYENU VIBARAKA NYINYI MLOKOSA LAKUFANYA. HEMU TOENI MABORITI YA MACHO YENU NDIO MTIZAME VIBANZI VYETU PUMBAVU ZENU
ReplyDelete