BREAKING NEWS: Kuna mapigano yanaendelea mkoani Geita hivi sasa kati ya Wakristo na Waislam


Habari zilizopo ni kuwa leo Geita mapigano yametokea kati ya Waislamu na Wakristo (particular Protestants wa AIC). Na hii ni baada ya Wachungaji wa AIC kutenga eneo la Buselesele kwa ajili ya machinjio ya Wakristo wao,maeneo ya Katoro na jirani ni vurugu na mtifuano!

Mapambano yanaendelea kwa silaha za jadi, mpaka sasa majeruhi kadhaa wana hali mbaya!

Hali imejitokeza baada ya Wachungaji wa AIC jana kuwatangazia waumini wao kuwa hawawezi kula nyama iliyochinjwa na Waislamu kama sehemu ya ibada,hivyo Wachungaji wakaamua kutenga eneo la Kanisa hapo Buselesele kama machinjio...leo asubuhi wakachinja nyama na kuanza kuwauzia Wakristo, hali hiyo ikawafanya Waislamu kwenda kuvamia eneo hilo lenye "nyama haramu." Hali hiyo mpaka sasa imeleta mapigano makali, pikipiki zinachomwa, maduka yanafungwa na shughuli zimesimama.

Hali inazidi kuwa mbaya, misikiti inachomwa, mtu mmoja alipotiwa kuuwawa mpaka sasa, mchungaji mmoja kala kichapo na pikipiki yake kupigwa kiberiti...

Polisi wa Geita wamezidiwa wanakuja wengine toka Mwanza na Chato! Unaulizwa jina ukitaja la kinyume na waliokukamata unaanza kupewa doze!

Hapa ndipo Mkuu wa Mkoa ambaye ni Mjomba wake Vick Kamata ametufikisha!

HALI NI MBAYA...

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyerere na dhambi ya ubaguzi: wao....... sisi ...... Tunaelekea kubaya, busara itumike kutatua migogoro kama hii, yanatokea wapi haya yote. tukianza kutembea mjini na kuanza kufikiria suala la nyama kachinja nani na kusahau mambo ya msingi ya kujiongezea kipato na kulipeleka taifa mbele, TUNAPOTEA. Kabla ya hapa kuna mtu alitoka vipele au alikufa baada ya kula nyama iliyochinjwa na mtu wa imani tofauti na yeye ...... tuache ujinga kuchochea ubaguzi, kama kitu akikufai ujalazimishwa kukila basi acha.... kwa akili hii tutavamia supermarkets na kuuliza hizi nyama za kopo kachinja nani ... TUNAELEKEA KUBAYA.

    ReplyDelete
  2. Amourlee Avogadro,nenda kwanza katahiri govi lako ndo uje uchinje wakristu,waige mfano kutoka zanzibar Luna mfano gani wa kuigwa wakati nyie wenyewe kula yenu mnaitegemea itoke bara,fikiria kabla ujalopoka

    ReplyDelete
  3. mmmmmh kaaaz kwel kwel!? Na ndio maana watanzania hatuendelei!!! Anyway nimependa pale walivoandika padri kala kichapo na piki piki yake imepigwa kiberity, lol hahahahahaha

    ReplyDelete
  4. Hakuna aliyeidhinishwa kuchinja! Hayo ni maswala ya dini so kila m2 afate dini yake kubugudhiana hapana

    ReplyDelete
  5. Na nguruwe basi wang'ang'anie kuwachinja siö ng'ombe peke ake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad