Breaking News: TCRA Yafungia Vituo Viwili vya Radio Huku Clouds FM Ikipewe Onyo Kali
10
February 26, 2013
Habari zilizotofikia hivi punde kutoka katika chanzo cha uhakika kabisa ni kwamba TCRA yafungia vituo viwili vya Radio ikiwemo Radio Iman ya mjini Morogoro na Radio kwa Neema kwa muda usiopungua miezi sita huku Radio Clouds Fm ya jijini Dar Es Salaam ikipewa onyo na kutakiwa kulipa Faini katika kipindi cha mwezi mmoja.
Udakuspecially.com itakuletea Taarifa kamili kinaga ubaga hasa sababu ilopelekea TCRA kuchukua maamuzi haya mazito.
Yano clouds mpaka tv yao haina maadili. I alwys say when u have cheap labour itaku kost tu one day. Yametimia sasa
ReplyDeleteAnoy hapo juu uko sawa hawa clouds hawana maadili na hata hawana proffesional.ethics only bs no shule.
ReplyDeleteKama kipindi cha yule dada ala za roho ndo upuuzi kabisa.
Rudi xxl hakuna kitu.
Tv yao ndio mavi kunuka.
Sijui kwann wasifungiwe kabisa. Big up tcra
I see,,,u hav chuki binafc!!? So my frnd wametozwa fain tu!! Kwa radio km ile nipesa ndogo watatoa ww usitune dat radio uone unawapunguzia nn!
DeleteYano clouds mpaka tv yao haina maadili. I alwys say when u have cheap labour itaku kost tu one day. Yametimia sasa
ReplyDeleteMaadili?? Ckilizeni wote anony hapo juu mjue kutofautisha radio,clauds inadil na habari naintertmnt ss mkitaka iwe km tbc taifa mmmh! Msiishi kwa kukarir.....km unamiaka 40 or enzi zamwalim huwez enjoy na vitu vinavyoenda na wakati.vzr mckilize radio za umri wenu!!
ReplyDeleteclouds is the best in tz
ReplyDeleteclouds is the best in tz
ReplyDeleteclouds is the best in tz
ReplyDeleteClouds fuck u beta mfungiwe kabisa
ReplyDeleteClouds fuck u beta mfungiwe kabisa
ReplyDelete