Chriss Brown na Rihanna Wachuniana Kisa Drake

Chriss Brown na Rihanna kwa sasa mahusiano yao hayapo freshi, toka Grammy awards za mwaka 2012, siku ile hawakuonekana wakiwa na furaha kabisa kwa sababu eti Rihanna alimtumia meseji mshikaji wa zamani yani Drake. Kweli siku ile hawakuonekana na furaha hata kidogo na wiki iliyoisha walionekana wamekaa tofauti  club kila mmoja kivyake. Chriss Brwon na Rihanna waligombana kuhusu Drake siku ile ya Grammy kwa sababu Rihanna alimtumia meseji Drake. Toka siku ile hawakua fresh na imekuwa ngumu kwao kuongea kila mmoja amekua akifanya mambo yake kivyake. Kwa sasa wameachana lakini huenda wakarudiana muda wote wote.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad