Facebook Yavunja Uchumba-Boyfriend Akuta Massage za Kimapenzi za Wanaume Wengine

Kaka Mmoja wa hapa Dar ameamua kuvunja uchumba baada ya kukuta massage za mapenzi katika facebook wa mwanamke ambae alikuwa amuoe siku si nyingi ...Kaka huyo alikwishakuwa amemtolea mahari msichana huyo..

Kisa kilianza hivi: Msichana alijisahau na kutoa password ya e-mail yake ambayo hutumia kusign facebook...Bila kujua kuwa Facebook huwa kama hujaweka Off Text Notisfication  message zote unazo andikiwa na watu zinaingia kwenye e-mail unayotumia kuingilia Facebook kama Notisfication...

Boy friend Baada ya kuingia alikuta message nyingi za wanaume wakiwemo marafiki zake ambao wanatoka kimapenzi na Mchumba wake....Message zingine msichana alikuwa akisifia hao wanaume wanavyojua kufanya mapenzi...yaani wanavyomridhisha wakiwa Sita kwa Sita..

Mvulana akaziprint msg zote na kuzipeleka kwa wakwe ili arudishiwe Mahari yake.
JE WEWE UNGEFANYAJE?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad