Hizi Ndizo Sababu Zilizo Sababisha Radio Mbili Kufungiwa na Clouds Fm Kupigwa Fine


Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia kitengo cha maudhui imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio viwili nchini kwa kukiuka maadili ya utangazaji.

Vituo hivyo ni pamoja na Kwa Neema FM ya Mwanza iliyofungiwa kwa kuendesha mjadala uliokuwa ukihusiana na watu wa dini gani wenye haki ya kuchinja wanyama kati ya waislam na wakristu hali iliyosababisha mgongano wa waumini wa dini hizo.

Kingine ni Imani Radio FM ya mjini Morogoro ambayo imefungiwa kwa kosa la kupinga zoezi la sensa mwaka jana na kuwashawishi waumini wa dini ya kiislam wasijiandikishe.

Nayo Clouds FM imepigwa faini kwa kuendesha mjadala kuhusiana na ushoga pamoja na kuwa na kipengele kwenye kipindi cha Power Breakfast kiitwacho ‘Jicho la Ng’ombe’ ambacho wametakiwa wakifute kutokana na kuendeshwa kinyume na maadili.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. U knw why waliendesha mjadala wa ushoga?bs nusu ya wafanyakazi wao pale ni mashoga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulijuaje?? We basha wao?napita tu!!

      Delete
  2. Hahahaha. Umejuajeeee!!tena wakiongozwa na......ndg naa baba j...... naaa the so kold dv naaaaa na jkmbe na seeeee naaaaaaaa malizieni wadau

    ReplyDelete
  3. Hahahaha. Umejuajeeee!!tena wakiongozwa na......ndg naa baba j...... naaa the so kold dv naaaaa na jkmbe na seeeee naaaaaaaa malizieni wadau

    ReplyDelete
  4. U knw why waliendesha mjadala wa ushoga?bs nusu ya wafanyakazi wao pale ni mashoga

    ReplyDelete
  5. Redio clouds ni nzuri ila watangazaji wawili, kibonde na hando ndio wanaiharibu, wanajifanya wajuaji sana na waropokaji mno karibu kwa kila jambo.Yaani wao ndio madoctor, wanasiasa, polisi, engineers, they just know everything na ndio wanatuhuma za ushoga so sishangai kuendesha kipindi cha mashoga. Jicho la ngombe ndo kabsaa gerald hugeuza maoni yake binafsi kuwa ya umma na kuwaponda au kuwasifia watu kwa faida yake.
    Ni vzr wamdhibiti mapema domo lake litakuja tufikisha pabaya

    ReplyDelete
  6. Ile ni redio ya wasenge

    ReplyDelete
  7. Na mabasha na wasagaji

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad