Je, Ni Kweli Chris Brown Hakupendezwa Na Frank Ocean Kuchukua Tuzo Ya Grammy??...

Hii ni video inayomuonesha mwanamuziki Chris Brown akibaki amekaa wakati mwanamuziki Frank Ocean akienda kupokea Tuzo ya jukwaani. Wakati Frank Ocean ametajwa kwa kushinda Tuzo, Chris Brown hakuonyesha ushirikiano kwani hakutaka hata kusimama wakati ukumbi mzima ulisimama na kumpa heshima yake mwanamuziki huyo.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio lazima kusimama ni heshima ya nyongeza, nimeangalia sio wote waliosimama ila kitu kama kumpongeza kwa kumpgia makofi criss kafanya, japo moyon ndio hivyo kashindwa kumpiku kwa kunyakuwa tunzo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad