Kamati ya Rufaa ya TFF yamuengua Jamal Malinzi Kugombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania


Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi ya TFF imemuengua Jamal Malinzi kugombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania. Malinzi aliwekewa pingamizi na Agape Fue ambaye mwanzoni alishinda lakini akaamua kukata rufaa. Sasa mgombea pekee aliesalia ni Athman Nyamlani.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kanuni zinataka mgombea awe na uzoefu wa miaka mitano,yeye hana sifa hiyo.asubiri uchaguzi wa 2017 atakuwa ametimiza sifa hiyo,kama kweli lengo lake la KUGOMBEA UONGOZI WA SOKA MKOA WA KAGERA LILIKUWA KWA MASLAHI YA SOKA LA KAGERA NA SI URAIS WA TFF

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad