Kuuawa kwa Padre Zanzibar- Rais Kikwete awataka wakatoliki na wananchi kuwa watulivu

Rais Kikwete awataka wakatoliki na wananchi kuwa watulivu kwakuwa ni suala linalofuatiliwa na serikali kwa ukaribu sana!
Waziri Nchimbi asema tukio hili si Ujambazi bali ni Ugaidi!
Jeshi la Polisi ladaiwa kuwahoji watatu kuhusika na tukio

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nimuehuzunishwa sana kuona kisiwa cha amani kinazidi kuchfuka ehe mungu wasaidie waja wako

    ReplyDelete
  2. sio kila siku tutatulia ipo cku patachimbika tu iweje padri apigwe risasi kwa kosa gan baya alilotenda,endeleeni tu ila tunasubili tamko moja na tutawafutilia mbali ndan ya cku moja

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad