Mama Diamond na Mchuchu Mpya wa Diamond VJ Penny Damu Damu

Mama Diamond Akiwa na VJ Penny Kulia

Siku za hivi karibuni kumekuwepo na ‘speculation’ kuhusu kama Diamond Platnumz na mtangazaji wa DTV VJ Penny ni wapenzi baada ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii inayowaonesha wakiwa pamoja kitandani.

Juzi Diamond alithibitisha rasmi kuwa kwa sasa anadate na mrembo huyo kwa kupost picha ya Penny (hiyo chini) kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: #MaBabyMama #De’MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YoungPrezident…..


Katika kile kinachoonekana kuwa Penny na mama yake Diamond zinaiva, hivi karibuni walipiga picha ya pamoja walipomsindikiza Diamond kwenye show ya Kigamboni.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad