Nafika Kileleni Mara kwa Mara Naposikia Sauti za Vitu Fulani
3
February 22, 2013
Binti huyu mwenye umri wa miaka 22 anasema, maisha yake yameharibiwa na mfumo wa homoni zake za mwili ambapo anaweza kufikia mshindo mara kwa mara anaposikia sauti za aina fulani. Anasema sauti ya muziki, magari yanapotembea, treni na hata milio ya simu ni kati ya vitu vinavyomfanya kufikia hali hiyo mara kwa mara na kusababisha ashindwe kuwa huru katika maisha yake. Wengi wanaweza wakasema kwamba anapata raha, lakini sio kweli kwani ugonjwa huu unamtokea sehemu yoyote ambapo haustahili kumtokea mtu wa kawaida hali ambayo kwa mujibu wake inamsababishia karaha...Ushauri wako wahitajika Please comment
Pole sana dada ingawa ni raha ila naona ni mateso hasa.
ReplyDeletepole sana dadangu ila nakushauri uwe unahakikisha umefanya mapenzi ya kutosha na mwenz wako kabla ya kwenda ofisin kiac kwamba ile hamu ya mahaba inakuwa haipo kabisa.ivo hakikisha mwenzio anakutoa hamu kabisa,madawa uctumie kwan ndivo ulivoumbwa ucje haribu kabisa,pole sana dada
ReplyDeleteDaa pole kwa hilo kama Seba anavyosema jitahidi kufanya mapenzi ulizike ili hiyo hali ipotee.
ReplyDelete