Napata maumivu makali wakati wa ku do

Habari zenu wanajamii forum!Mimi ni msichana wa miaka 25 na nna mpenzi wangu ambaye tunapendana tu,tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili raundi ya kwanza huwa naenjoy ila raund zinazofuata huwa sijisikii tena na matokeo yake huwa nasikia maumivu makal sehemu kiasi kwamba huwa sioni raha ya mapenzi bali karaha tupu!na mpenz wangu huwa anajitaidi sana kuniandaa lakini naona haisaidii!Je wanajamii hili ni tatizo la kwenda hospitali?naomben ushauri wenu ndugu zangu sababu nimekuwa nikipata tabu hii kwa mda mrefu sasa.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jalbu kwenda kwa hosptal mey kuna tatzo linakusumbua.

    ReplyDelete
  2. pole sana dadangu nakushauri jaribu kufanya mapenz na mwanaume mwingine uone kama hiyo hali bado inaendelea,lakin kabla hujafanya nae please mwende mkapime kwanza then mwambie lengo lako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad