::
Ile anataka kutoka tu pale mlangoni,kanga yake ikaanguka na akabaki mtupu Macho hayana pazia niliona utupu wake nae aliona kuwa nimeona.Ile tu anajizoazoa kujisitiri akateleza akaanguka ikabidi nimsaidie kumuinua , nikamwinua huku akiwa uchi wa myama na kuhakikisha hajaumia popote ...then nikamfunika na kumwambia pole nikaondoka kiistaarabu.
Ila sasa naona ustaarabu wangu uliniponza sasa naona ananifanyia vituko Mwanzo nilifikiri yameisha,alianza kwa kukwepesha macho na mimi,,mara akajenga mazoea na mimi.Na sasa vituko vimezidi,mara sms za ajab,wakati wote anataka kujua niko wapi na nafanya nini, siku ingine ananiletea chakula alichopika nile..
Kwa tabia na msimamo wangu naheshimu sana ndoa za watu.Nishaurini nifanye nini kumuepuka ? Nimepanga chumba hapa na nimelipa kodi ya mwaka mzima,ni jirani tu chumba cha nne toka kwangu
Mwanamke haangushi kanga bahati mbaya akiwa anatoka kuoga mbele ya mwanamme.
ReplyDeleteUtakuwa kavulana, hujui hata kutizama picha
Umeshapewa scene act kabisa kama starring sasa
ReplyDeleteNipe namba nimshughulikie kama unamwogopa weye
ReplyDeleteWe weeeee huyo anakuvuta ila ukinasa ujue utang'ang'ania ooooh hapana chesea muke ya mutu wewe
ReplyDeleteMke wa Mtu SUMU kuwa kijana
ReplyDeleteMwambie kuwa tabia yake hupendezwi nayo.
ReplyDeleteMke wa Mtu SUMU kuwa makini usidanganyike kijana
ReplyDeleteFanya mpango ulete ata kidemu chako kimoko kiwe kinapika na kupakua zen kiambie ukweli kama ishu we na uyo maza mlipishana vp, ukiweka vijitamaa vyako anakufukuzisha mtaa jipange umalize mwaka wako.
ReplyDeleteMke wa Mtu SUMU kuwa makini usidanganyike kijana
ReplyDeletemke wa mtu mtamu ila sumu yakuoootea mbli
ReplyDeletemke wa mtu mtamu ila sumu yakuoootea mbli
ReplyDeleteMke wa mtu sumu??? Baxi mme wa m2 maziwa mega kisela ww acha kujivunga
ReplyDeleteJipeleke upigwe hela unachezea maisha ya town weye!!
ReplyDeletemm skia labda ungejaribu kumpa nafasi na kuweza kumdadisi nini anataka zen apo utajuwa cha kufanya pengine anakuona kama utasimulia kwa kuwa umeona je! so anajaribu kukufumba mdomo au
ReplyDeleteKombo umeongea point... Huyo mke wa mtu ameona njia sahihi ya kumziba mdomo selaa ni kwa kutaka kumpa penzi. Ni vyema huyo selaa akajipanga ili akamsaidia kimawazo na si kimapenzi asije hama mtaa. Maana mwonja Asali siku zote huchonga na mzinga kabisa kaka!! Watch out!!!
ReplyDeletetafuta siku umuweke chini umpe dalasa ahache tabia hiyo maana atakupa matatizo tambua mke wa mtu ni sumu.
ReplyDeleteAnataka bana na wewe kwanini unaacha nyama iliyochomwa kabisa??tumia mpira plizi usimuachie ata!
ReplyDeleteMpotezee kabisa atakuharibia maisha huyo,usijibu sms zake,akikuletea msosi mwambie umeshiba.
ReplyDeleteGusa unase
ReplyDeleteGusa unase
ReplyDeletehuyo alikuwa nakupenda sikunyingi hasa sikuhiyo alipata sababu pole wee mke wamtu ni sumu kaka
ReplyDeleteTomba wewe
ReplyDeleteTomba wewe
ReplyDeleteNipe namba yake na huo usumbufu hautaupata tena
ReplyDeleteJamani mimi ni mwanaUme nina miaka 28 ninatafuta mpenzi wa mwanamke mwenye kupenda mapenzi muda mwingi nitamlipa vizuri au tukiamua tutahishi pamoja pia awe na umbo kubwa nitafute-0752238295 nitamwitaji moja tuu wee nitafute
ReplyDeleteMtombe walau mara tatu,na achana nar,by mpekuzi
ReplyDelete