[PHOTO] Tattoo Mpya Ya Young Dee Na Maana Yake...

Rapper Young Dee ambae kwa sasa anafanya vizuri katika muziki akiwa natamba na ngoma ya ya ''Hujali'' ambayo ameshirikiana na Mr. Blue siku za hivi karibuni ameongeza michoro katika mwili wake.
Tattoo hizo ambazo amechora katika shingo na mkononi mwake na kudai kuwa hajutii kuchora tattoo hizo maana zina maana kubwa sana kwake.
Pia rapper huyo hakusita kutoa maana ya tattoo ya mkononi mwake, OMG [Over everything My head Got to make it easy] na kusema kuwa hiyo ndio tattoo anayoipenda sana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad