So Sad:Wanafunzi Saba wafariki kwa Ajali ya Gari Waliloomba Lift.

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna Ajali iliyotokea jioni ya jana saa 11.Watoto saba,Dreva na mama mmoja wa kimasaai na watoto wake wote wamefariki dunia.Wanafunzi 7 waliofariki wakilikuwa wamepanda gari(lift) wakitokea shule Chalinze sekondari wakielekea maneo ya Mdaula. Gari walilopata lift linanamba za usajili hizi T363 AZG src dj sek

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu azilaze roho zao mahali pema pepon

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad