TID Asema "Lazima Nishiriki Big Brother Japo Kuna Watu Wananiponda"


Nia ya Khalid Mohamed aka Top in Dar kutaka kushiriki shindano la Big Brother Africa mwaka huu iko pale pale licha ya kuwepo watu walionza kumkatisha tamaa.

Kupitia Facebook TID ameandika, “A Bad Company always corrupt a good character…I wont accept that, I WILL Be in a Big Brother Superstarz.”

Mwandishi wa ripoti hii  amempigia simu TID kutaka kupewa ufafanuzi wa alichokiandika ambapo amesema alimaanisha kuwa tangu Bongo5 imtaje kuwa miongoni mwa mastaa wanaoweza kuwa wawakilishi wazuri wa Tanzania katisha shindano hilo mwaka huu na watu wengi kumuunga mkono, kumetokea watu wachache wanaosema hatoweza.

TID amesema maneno hayo hayamkatishi tamaa na kwamba msimamo wake wa kuchukua fomu kujaribu bahati yake uko pale pale ambapo anatarajia kuichukua wiki hii.

“Hey bro! jst trust in urself go there n bliv t or not u gonna do smthng splendid,i adore u as wel as im ur fan so i bliv u wil do smthng so splendid and we as tanzanians we bliv in t…wsh ya ol da best, ” aliandika shabiki wake mmoja.

“As i have been buying ur albums,listening to your music,watching your videoz,come to ur show’z and many more……my positive support by VOTING alooooooooooooo……t for U@Tid Tid Topband,” aliandika mwingine.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wenye wivu wajinyonge na Big G.. Uko juu TID.. Go for it bro.. My vote will alwayz be your.. Cheers bro..!!

    ReplyDelete
  2. kwa kweli tid wa zamani c wa sasa, kipindi cha mikasimalionyesha vituko vya ajabu, sikushauri uende big br, unapoteza muda wako, kajipange upyaa, usivamie fani ndg,huwezi jilinganisha na mwisho wee, wale ni ma enterteiner wazuri, hawana masifaa hata kidogoo

    ReplyDelete
  3. Daah! Mnyamaa ww n mkali wala ucckilize m2 fanya ki2 unacho kijua ww kwan hta cc raia 2nakukupali kwamba ww ndio unafaa kushiriki kwanza talent unayokaka ss unangoja nn fanya hvyo coz ww your so fantastic brother...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad