Yanayotokea bungeni sasa yanaashiria ukombozi uko karibu

Nadhani kama wewe ni mdau wa Siasa utakuwa umeona kinachotokea Bungeni kwa sasa kati wa wabunge wa CCM na wale wa Upinzani...Kwangu hii naona ni dalili nzuri ya ukombozi usiniuliza ni kwanini ila alama za nyakati zinaonyesha ...
Tumeshuhudia jinsi uongozi wa Bunge (spika na naibu spika) wanavyoikanyaga demokrasia waziwazi kwa kuwakandamiza wabunge wa upinzani akionesha wazi kupendelea chama tawala akidai anafuata kanuni za bunge. Hivi hizo kanuni ni applicable wakati anapokuwa mtoa hoja anatokea upinzani tu? Naomba ajue kuwa wenye maamuzi kwamba nani atuongoze ni sisi wananchi na sasa asubirie 2015 ili ajue watanzania tumechoka kufanywa vikatuni.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tumechoka jaman na ccm lkn 2naelekea pazur sana watz wameanza kujtambua

    ReplyDelete
  2. Wapinzani ndio waliotoa hoja na imejibiwa sasa nini kiliwafanya waanzishe vurugu? Tundu nusu ndio chanzo cha vurugu za jana. Wapinzani bure kabisa wanataka tuamini kuwa wana nia mjema nasi lakini wana agenda yao. Wanataka wananchi tuwaone ni wakombozi kumbe ni kundi la wajanja tu.

    ReplyDelete
  3. Acha kutetea ww unajua nn,ukwel ndio huo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad