Alichokiandika Chidi Beenz Baada Ya Kusikika Ugomvi Wake Na Ngwair.


Siku ya jumamosi katika ukumbi wa disco wa Ambassador Lounge kulitokea ugomvi kati ya rapper kutoka Ilala, Chidi Benz pamoja Ngwair kutoka #DenjaVuMusic.
Ugomvi huo ulitokea baada ya Chidi kuonekana kutofautiana na Dully Sykes alipokuwa akiingia ndani ya ukumbi huo, na baadae Dully alipoamua kuondoka ndio Ngwair alimuliiza Chidi inakuwaje unamzingua Dully??!
Hapo ndipo inaonekana ugomvi kuanzia na rapper huyo kuanza kumrushia mwenzie lugha chafu na kutaka kuanza kupigana...
Chidi ameonekana kuomba msamaha kwa fans wake na kwamba yeye hana matatizo yeyote na Ngwair... check alichoandika Chidi Beenz hapa chini:


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we huna jipya..kaungane na kina isha mashauz au hadja kopa mkaimbe taarabu

    ReplyDelete
  2. Msamaha haupo kwa wa2 km nyny.......Chdy umezngua sn

    ReplyDelete
  3. Msamaha haupo kwa wa2 km nyny.......Chdy umezngua sn

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad