Askari amshika makalio mfanyakazi wa ndege wa fast jet

Picha si ya Tukio Hilo.
Askari mmoja alievalia nguo za kiraia amewekwa ndani kituo cha polisi airport kwa kutuhumiwa kumshilka makalio mfanyakazi wa ndege wa fast jet.

Tukio hilo limetokea leo saa nne wakati askari huyo aliekuwa akienda mkoani akiwa bwii alipofika kwenye sehemu ya usalama aanze kuvua viatu na mengineyo gafla akaona binti amevaa kimini na huku nyuma kijungu kikipumua kwa kweli alishindwa kuhimili ndipo akamfwata na kumshika makalio alipoulizwa kwa nini amefanya vile alisema alikuwa anayatest kama ni yake kweli ama lah maana wengine wamezoe kutuwekea naniino huko nyuma ndipo wakuu wake wakaamua kumsaidia kwa kwenda kumtuliza ndan huku binti akienda kufungua kesi.

Kazi kweli kweli jaman sitaki kusema nani mbaya ila na mabinti tujilinde jamani mmhh vimini vyao hata kama aisimami unasikia inapga kwitukwitu kwitu
Source:Jamii Forums

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Imetokea wapi sasa?

    ReplyDelete
  2. Imetokea wapi sasa?

    ReplyDelete
  3. "It's so sad that we live in a society that teaches women to be careful not to get raped instead of teaching men not to rape"
    Hiyo statement inakuhusu sana wewe "poster"
    Hutajibu wala ku comment but I'm sure the message has been delivered loud and clear!
    Adios

    ReplyDelete
  4. Inamaana hao maaskari na wafanyakazi wa fastjet ni wazungu mbona hii haileweki

    ReplyDelete
  5. Ha ha ha..... poti kafanya yake hata kama nngekuwa mm ninge enda kuya test je yaliyo yamooo.

    ReplyDelete
  6. umeambiwa picha sio ya tukio hilo.

    ReplyDelete
  7. basi huyo askari alikua anamlia mingo long time chezea kipururu wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad