Baada ya Video yake Chafu Kuvuja Agness Ajitokeza Tena Instangram


Kwa mara ya kwanza tangu ile skendo ya video queen wa music wa bongo fleva
Agnes Masogange kurindima ,baada ya video yake ya ngono kuvuja kama
Maji kwenye Mitandao ya Kijamii...Jana alionekana kwenye mtandao wake
wa kijamii wa INSTANGRAM Akipost picha kadhaa akiwa ni mtu
mwenye furaha tele na Amanii.....



Baadhi yao walionekana kumuelewa kwa kutupia likes na comment pia
japo wengine walicomment wakisema
''Wewe ni simba uliyejivika Ngozi ya Kondoo....''
Baadhi yao kutukanana...ikionekana kuna raia wanamuelewa Agnes
na wengine bado wakiwa na kinyongo.....!!



Comment nyingine ilisomeka ..''My dear nobody is perfect....shit happens
live your life nobody has no right to judge u''

Picha hizo zilimwonesha agnes akiwa kwenye pozi tofauti tofauti
nyumbani kwakwe.....!!


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Idadi ya wanawake wanaojiuza inaongezeka kila siku, mitandao inatumika sana kufanikisha shuhuli yao hiyo ya ukahaba

    ReplyDelete
    Replies
    1. malaya 2 hana lolote! Yupo kikazi zaidi ila hakuna mnunua uchi pande hizi!

      Delete
  2. huyu tumeshamchoka bana hakuna kiungo tusichokijua kwenye mwili wake labda kwa ndani tuwekeeni watu wapya huyu anatia kinyaa sasa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad