Breaking News:Kajala Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka Nane Ama Faini ya Million 13

Kwa habari tulizozipta muda si mrefu ni kuwa msanii wa Bongo Movies Kajala Aliye kuwa anakabiliwa na kesi Amehukumiwa kifungo cha miaka nane ama kulipa Faini ya shilingi milion 13 ...Tutazidi kuwapa yaliojiri huko mahakamani..

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad