Cyril Apata Meneja Mpya Wa Kusimamia Kazi Zake...
0
March 26, 2013
Mkali kutoka kundi la Wakacha maarufu kama Cyrill a.k.a Kamikaze, tokea Singida ambae kwa sasa anatikisa industry ya muziki, kupitia na track yake iitwayo Nafanya ambayo amempa shavu Jux, one of the crew members in Wakacha.
Not only that... Cyrill anafanya vyema pia kupitia joint nyingine iitwayo Utamu Wa Chocolate aliyomshirikisha shombe shombe, Bob Junior
Nyota huyu, ameamua kumtangaza Manager wake mpya atakayesimamia kazi zake kuanzia sasa...
Mcheck hapa chini: