Diva Loveness Afunguka Kuhusu Kosa Kubwa Alilolifanya Katika Maisha Yake
0
March 23, 2013
Diva jana alifunguka kuhusu kosa kubwa alilolifanya katika maisha yake
tangu azaliwe. Na alichosema kajuta ni kua na uhusiano wa kimapenzi na
msanii Mo Racka. Hiki ndicho alichokiandika Twitter jana usiku
Tags