Eti Anasema Ana Mimba Yangu !..Wataalam Nisaidieni Pliz


Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....

Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...

Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inawezekana kabisa! Kwa sababu ya irregularities katika menstrual cycles. Kwa ufanisi zaidi katika kuzuia mimba zisizotarajiwa hakikisha unatumia condoms kila unapofanya mapenzi.

    ReplyDelete
  2. siku ya 6 hawezi pata mimba!!yani umebambikiwa toka mbio kaka... tumia condom ndo ushauri wangu.

    ReplyDelete
  3. Kwani si usubiri mkafanye Vipimo vya DNA, Kwani tatizo liko wapi hapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bei ya DNA unaijua

      Delete
    2. Naijua na ndio maana Nika suggest,
      Labda wewe ndio hujui, na kama hujui do your own research don't expect somebody else to do it for you
      Adios!

      Delete
  4. wanaume mnachekesha sana nyie huwa mwahisi kubambikwa tu?!?! km wahic mwanamke anatombwa na wengine c uvae kondom...ucpovaa kubaliana na yote

    ReplyDelete
  5. Check cycle yake ya period ni cku ngapi, kama ni 28 basi kakubambika. Kama hua haina msimamo yaani mara siku21 or less au zaidi, inawezekana ni yako.

    ReplyDelete
  6. Ilo ndo tatzo lenu wanaume wengi wakt mnaaza kufanya mapenzi hamtak kabsa kuckia habar za condom....nakushauli kama uamin iyo ni mimba yako..we ilee 2 akishazaliwa mtt kapme DNA....uckatae mapema yaweza ikawa damu yako kweli......rembr condm!

    ReplyDelete
  7. hyo inawezekana kabsa cz kibaolojia mtu anatakiwa aanze kufanya mapenzi siku nne baada ya MP na znapobaki cku nne kabla Mp anatakiwa kuctsha otherwise ana uwezekano mkubwa wa kupata ujauzito...kulingana na maelezo yako inamaana mmfanya cku sita tangu aingie which meanz alkua na cku mbili au tatu cnc amalize mzunguko, kwa mantiki hyo inawezekana kabsa kwa 90% kupata ujauzito....nakushauri ukae nae muelewane vzuri cz yaweza kua n yako km akiwa hana mtu mwngne...pia kwa msaada zaidi unaweza kuntafta kuptia hemedrenatus@yahoo.com nikufafanulie zaidi cz ths z my professional(dr.).

    ReplyDelete
  8. INAWEZEKA kabisa, siku yoyote katika mzunguko akapata mimba, ingawa uwekano ni mkubwa zaidi katika peak days, hata hivyo siyo hakika kwa 100%. kipimo cha DNA kitaweza kukutatulia suala lako.

    ReplyDelete
  9. mbóna ukutuomba ushauri kabla ya kutombana

    ReplyDelete
  10. c ungeomba ushauri kabla ya kumtomba na kumfira

    ReplyDelete
  11. Pumbavu kondomu sh 200 ilikushnda utaweza bei ya dna

    ReplyDelete
  12. siku 6 bado niparefu sana broo!labda ingekuwa siku kuanzia 10 hivi.but fanya uchunguzi wa cycle yake,kama ipo stable au inadeviate,hiyo pia nisehemu ya maisha usiogope!

    ReplyDelete
  13. Iwezekana hiyo kwani mimba huingia wakati mmjoja tu ni masaa kazaa tu.

    ReplyDelete
  14. Iwezekana hiyo kwani mimba huingia wakati mmjoja tu ni masaa kazaa tu.

    ReplyDelete
  15. NILETEE NI YANGU NITALEA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad