H uyu ndiye Msichana Aliyechezea Kichapo Kutoka kwa Jamaa Yake Baada ya Kubusu Kifua cha Diamond Jana

Dada Huyu Akiwa kwenye show ya Diamond alinyanyuka na kwenda kubusu kifua cha diamond,baada ya hapo alichezeya kichapo toka kwa jamaa yake baada ya kujisikia vibaya na hicho kitendo...

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kusema ukweli huyo dada alimkosea sana bf wake kwakufanya hicho kitendo,ila swali linakuja hivi...ndio apigwe????
    kamuoa mpaka ampige???
    violence is never the answer,watu wengine hujitakia kwenda kuonja jela hivi hivi

    ReplyDelete
  2. Ni mapenzi ni kuonyesha kua huyo jamaa kampenda sana demu wake, Kumpiga ni kumunyesha asirudie kitendo hicho siku nyengine

    ReplyDelete
  3. bora alivyombutua next time atauliza kabla ya kutenda

    ReplyDelete
  4. Lakini huyo mdada kamzalilisha sana boyfrnd wake napia kajishusha thaman

    ReplyDelete
  5. Nooo, kawaidatu!!,diamond ni msani na anapendwa, so sioni tatizo lolote mmi?

    ReplyDelete
  6. Nooo, kawaidatu!!,diamond ni msani na anapendwa, so sioni tatizo lolote mmi?

    ReplyDelete
  7. Hiyo dharau kchapo hapo fresh may b mchz angekuwa home hapo poa bt yupo ahahah dharau za ki***a

    ReplyDelete
  8. Kumpenda msaani isiwe kigezo cha kuonyesha dharau kwa boyfriend wake huo ni ulimbukeni wa dada zetu.

    ReplyDelete
  9. mademu wengine wasenge sana

    ReplyDelete
  10. dah me nahc hyo dem angekuwa wakwangu, yan me nahc huyo jamaa kama amekuna2 hyo dem..

    ReplyDelete
  11. Binafsi mizuka ya kisenge huwa sipendi hata mamaa anajua!. Nahisi huyo dem anangata huku na kule.

    ReplyDelete
  12. inategemea kama dem alikuwa kalewa xana hilo co tatizo ni pombe 2 so haikuwa na haja ya kumpga lakn kama alikuwa macho makavu hiyo ni dharau kubwa lakn kumpga co dawa kama dharau iko palepale muhimu ni ku2pa kule....

    ReplyDelete
  13. Pumbavu sana huyo dada ana heshima;angevunjwa hata kiuno...

    ReplyDelete
  14. kweli wabongo wabongo tuu ndo mana nmezamia ulaya . Hata kama nauza mandazi ila ntaondoka nna akili. Ampige?????oh no. Angelala jela ad aote.kwan wats the big dil?jus kiss??hakueshim emotions zake?kwan wanahstoria gan na Nasib?fck it..Angenitambua. Tatizo africa esp tz haki za mwanamke hazizingatiow kbsa yan. Hyuo kaka angelipa fain na jela juu.

    ReplyDelete
  15. Kwa dharau hii kichapo halali yake.

    ReplyDelete
  16. jamani watu wanazimia kwenye show za wasanii wanao wapenda itakuwa busu tena la kifua acheni ujinga wanaume.

    ReplyDelete
  17. Huyo jamaa yake......nahisi atakuwa kilimo kwanza yaani from bush.

    ReplyDelete
  18. YAAN HUYO ANGEKUWA WANGU ANGE PATA PANGA ZA KUTOSHA IKIWA NI KUHARIBU SURA ILI AJUE MKURYA HAPENDI DHARAU.

    ReplyDelete
  19. Yani nasubiri siku ki bf kijaribu Hata kunipiga singi tu... Utalala jela wewe mpaka utie adabu

    ReplyDelete
  20. Alimpigia nn? Huyu dada angekuwa dadangu lazima huyu msela angechezea kichapo na yeye, pumbafu mkubwa ulitumwa umpeleke mkeo kwenye shoo ya daimond? Tena ikiwa mim ndio daimond ningemtandika mboro mbele.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad